WAADHI: WATESI
WAADHI: WATESI
—Papa aliyeamuru kufanywa watumwa kwa watu kulingana na rangi zao.
—Aliwaambia Wareno kuwaendea watu weusi na kuwafanya watumwa.
—Papa huyu aliitwa Nikolasi V alileta ubaguzi na ndiye aliyewafukuza Wamua {Moers} kupitia kanisa aliwafanya waafrika watumwa kutokana na weusi wao.
—Papa Nicholas V alitoa waraka ujulikanao kama " papal bull Dum Diversas mnamo 18 June 1452".
Uliomruhusu Alfonso V wa ureno kupuwapunguza "Waislamu na Wapaganina wale wote wasio waamini" kwa kuwafanya watumwa na hili lilichochea biashara ya utumwa kwa wareno kuja afrika ya magharibi na kuwafanya waafrika watumwa.
+Papa huyuhuyu ndiye aliyeandika waraka uitwao "bull Romanus Pontifex" Mnamo Januari 5, 1455, Kwenda kwa Alfonso. Kama waraka unaotaka mrejesho wa waraka wa awali " Dum diversas".
Si tu ulitakasa uporwaji wa ardhi za wakazi asilia wasiokuwa Wakristo, lakini ulihamasisha kufanywa watumwa kwa wazawa wa ardhi hususa ambao hawakuwa wakristo barani Afrika.
#Kama hatumfahamu adui wetu hatuwezi kwenda mbele.
Comments
Post a Comment