UFALME WA MUTAPA

 Dondoo: UFALME WA MUTAPA 


+Ufalme au Dola ya Mwanamutapa/Mutapa ilienea haswa kusini mwa Afrika kuanzia Limpopo na MTO Zambezi mpaka kufika Bahari ya Hindi.


+Dola hii ilijumuisha kile kiitwacho wakati wa Leo nchi ya Lesotho, Jamhuri ya Afrika kusini, Msumbiji, Zambia, Eswatini pamoja na Zimbabwe.


+Fikiria namna dola hii ilivyopata kuwa kubwa zaidi wakati huo au ingekuwa kubwa kiasi gani kwa wakati wa leo.


+Inaaminika kulingana na simulizi kuwa Mwanamfalme Nyatsimbe kutoka ufalme wa Zimbabwe ndiye aliyeasisi ufalme wa Mutapa yapata karne ya 15, akichukua madaraka kutoka kwa Babu yake Mbire ambaye aliianzisha KAZI hususa yapata Karne ya 14.


+Biashara baina ya Ufalme wa Mutapa na India ilikuwa katika ustawi mkubwa Sana.


+Dola hii ilivamiwa na Wareno walioingia wakitokea pwani ya mashariki yapata miaka ya 1530 wakati mwene Mutapa aliposubutu kuwafukuza mnamo 1629.

Comments

Popular posts from this blog

THIS IS ARUSHA TANZANIA

ATHARI ZA UJIO WA WAARABU TANGANYIKA

WAADHI: WATESI