WAADHI: MAATI

 WAADHI: MAATI


Umewahi kustaajabia ulimwengu na nafasi yako katika ulimwengu?


—Umewahi kutizama nyota na kuhisi kuunganika na kitu kikubwa zaidi kuliko wewe mwenyewe!?


—Ikiwa ndivyo na unapendezwa na utafutaji wako wa hekima basi Italia vyema ukafuatilia mafundisho ya kitabu cha kale cha Misri sahihi ambayo haikuchafuliwa na waarabu au wazungu kwa kusoma kitabu kiitwacho MAAT.


—Kila jumapili tutakichunguza mstari kwa mstari na historia mbalimbali kuhusiana nacho na jinsi Misri ya kale au KEMETI ilivyokuwa yenye ustaarabu kabla ya kuvamiwa na wagiriki, waingereza na hata waarabu ambao mpaka SASA wamekuwa wengi kuliko waliokuwa wazawa.


Nuru na ituangaze.

Comments

Popular posts from this blog

THIS IS ARUSHA TANZANIA

ATHARI ZA UJIO WA WAARABU TANGANYIKA

WAADHI: WATESI